"Paukwa Pakawa" is a track by Dela (USA), released 15th November 2009. Full lyrics are available below.
Lyrics
Paukwa Pakawa
Paukwa pakawa
Umesaidia vipi wenzako hawa
Nalia
Sahani ya mchele
Wengine wafa njaa tumbo yako mbele
Giza ya mwizi lakini mchana twaogopa siku hizi
Kiboko kwa mkorofi
Maovu yako yanapigiwa makofi
Bridge:
Dua la mnyonge halimpati mwewe
Mwenye nguvu mpishe
Kilio changu kisikize
Dua la mnyonge halimpati mwewe
Nalia
Nalia
Uhuru wangu mwanidai
Mavazi yangu hayafai
Eti [?] hapa ni afadhali
Songa kando ta-fadhali
Nilisoma shule gani
Wazazi wangu kabila gani?
Eti tambo [?] sio simu
Hamwelewi yalio muhimu
Bridge:
Dua la mnyonge halimpati mwewe
Mwenye nguvu mpishe
Kilio changu kisikize
Dua la mnyonge halimpati mwewe
Nalia
Nalia
Paukwa pakawa
Umesaidia vipi wenzako hawa
Nalia (mama)
Sahani ya mchele
Wengine wafa njaa tumbo yako mbele
Giza ya mwizi lakini mchana twaogopa siku hizi
Kiboko kwa mkorofi
Maovu yako yanapigiwa makofi
Bridge:
Dua la mnyongе halimpati mwewe
Mwenyе nguvu mpishe
Kilio changu kisikize
Dua la mnyonge halimpati mwewe
Nalia
Nalia
Outro:
Dua la mnyonge
Halimpati mwewe
Nalia
Mwenye nguvu, mwenye nguvu
Mpishe, mpishe