[Intro: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
Haya we (Iye, iye, iye)
Haya, haya we (Haya we)
Haya we (Iye, iye, iye)
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya we (Iye, iye, iye)
Haya, haya we (Haya we)
Haya we (Iye, iye, iye)
Haya, haya we
[Chorus: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
Siku hizi mapenzi pesa
Wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa
Wasikudanganye ni kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
[Verse 1: Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego, Both]
Ehn
Kama mapenzi shilingi (Uh huh)
Mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (Okay)
Vijonjo vingii (Uh huh)
Nau Dangote n'lonao nikakaziwa
Wе ukitoa Murano mwenzako anatoa Benz
Mapenzi ni mchеzo wa kishenzi
Pesa mbele ndo atakuenzi
Kiulaini tu kama Zenji
Si umeasikia kunambi
Aunt kwa moze alivyotulia
Bila hata chomvi
Na mtoto kabisa akamzalia
Si unakumbuka ya Wolper? (Ah wapi?)
Dallas Kuchoka (Sa ngapi)
Si akaondoka, oh
Tatizo unasikiliza sana magazeti
[Chorus: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
Siku hizi mapenzi pesa
Wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa
Wasikudanganye ni kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
[Verse 2: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz, Both]
Si unakumbuka kipindi kile
We unatoka na nenda kamwambie
Walisema una bonge la domo
Eti leo handsome si mtonyo?
Saa ndo maneno gani? Ah ah, eh
Kabla hujafa hujaumbika
Usimuudhi Molana (Haya we)
Tena usiombe yakakufika
Ya juzi sio jana (Asa la le)
Na bora nienda zangu maana
Maneno yamekuishia
Nisije kuongea mwanangu mwishowe ukaja niharibia
Hata huyo Zari asingekupenda usingekua Diamond (Ah, ziache dharau)
Usinidanganye kilitamu (Mi unanidharau)
Unatetea mapenzi umerogwa?
Mapenzi bila pesa si ushoga? (Tai)
Ale le le le
Nasikia mbuzi kala mukeka
Binti kaenda kwao (Le le le)
Eti mafundi wamemuteka
Kakuachia mwanao
Sa nahisi unakosa adabu (Ah unanionea)
Huna ustaarabu (Mbona yangu unayaongea)
Na n'takupa adhabu, oh
Tatizo kitu kidogo mpaka tugombane
[Chorus: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
Siku hizi mapenzi pesa
Wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa
Wasikudanganye ni kupeti bwana
We watakucheka
Na juhudi uifanye si utu kuvavanya
[Refrain: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
(Ha ha)
Haya we
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya, haya we (Haya we)
Haya we
Haya, haya we
[Break: Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego, Both]
Kisambusa, T. Touch
Kisambusa, ah (Iye)
Kisambusa, T. Touch
Kisambusa, ah (Iye)
Eh eh, eh eh
Haya we
Haya, haya we (Iye)
Eh eh, eh eh
Haya we
Haya, haya we (Iye)
Eh eh, eh eh
Haya we
Haya, haya we
[Outro: Nay Wa Mitego, Diamond Platnumz]
Basi baba basi, eh
Basi
Mpe nyonyo